Jukwaa la wahariri Tanzania, TEF Walitangaza kutoandika wala kujihusisha na habari zozote za Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda baada ya tukio la uvamizi wa kituo cha Clouds Media.
Sasa Kituo cha Matangazo ya Tv Cha Star Tv kilitangaza kuwa na mahojiano na mkuu huyo wa mkoa wa Dar, kuanzia Jumatatu Mei 22, 2017.
TEF Wametoa Tamko hili hapa chini...............................



No comments:
Post a Comment