Latest News

Friday, April 15, 2016

NEW MUSIC AUDIO: Baba ubaya ft Tid Mnyama - Wamenimiss

Baba ubaya ni msanii chipukizi kwenye gemu ya muziki wa kizazi kipya ambaye anafanya muziki wa kuchana hii ni ngoma yake mpya iitwayo wamenimiss ambayo
ameimba kwa sauti ya msanii aliyetangulia mbele za haki Albert Mangwea, ndani utaisikia sauti ya Tid Mnyama.

Sikiliza na downloada hapo chini.

No comments:

Post a Comment