Msanii kutoka nchini Nigeria, Wizkid alikuwa kwenye tour huko akakutana na Chris Brown ambapo alimtangaza Wizkid kuwa kati ya wasanii atakaofanya nao perfomances kwenye tour yake ya ONE HELL OF A NIGHT TOUR. Hapa ni picha na video za tour
Baada ya Wzkid na Chris Brown kukutana kwenye stage moja.....!
Reviewed by Unknown
on
1:44:00 AM
Rating: 5
No comments:
Post a Comment