Latest News

Tuesday, October 18, 2016

Leo tarehe 18, Oktoba 2016 Rais Magufuli Ametengua Uteuzi wa Mkurugenzi Aliyewatishia Bastola Trafiki

Image result for RAIS MAGUFULI 2016
Leo October 18 2016 taarifa iliyotolewa na mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu, Gerson Msigwa imesema kwamba Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga Emmanuel Mkumbo. 
Aidha taarifa hiyo imeongeza kuwa uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga atakayejaza nafasi ya Mkumbo utafanywa baadaye.

No comments:

Post a Comment