Msanii wa zamani kidogo aliyetamba na kibao cha Sina Raha, Sam wa Ukweli ameachia wimbo mpya unaitwa nawaona. Huyu ni msanii aliyepotea kwa muda mwaka jana aliachia ngoma lakini hazikufanya vizuri.
Unazungumziaje huu wimbo wake mpya?
Reviewed by Admin
on
6:07:00 AM
Rating: 5
No comments:
Post a Comment