Latest News

Monday, April 18, 2016

Apumzike kwa amani: Aliyekuwa Mkurugenzi wa BoT Amatus Liyumba afariki dunia

Aliyekuwa Mkurugenzi na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania ( BOT), Amatus Liyumba amefariki dunia, msiba uko nyumbani kwake maeneo ya Triple Seven, Mikocheni jijini Dar.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peoni.

No comments:

Post a Comment