Latest News

Monday, April 18, 2016

John Legend afanikiwa kupata mtoto wa kike...

Mwimbaji John Legend na mpenzi wake Chrissy Teigen wamepata mtoto wao wa kwanza na kumwita Luna Simone Stephens mnamo alhamisi ya April
14 2015.
John na mpenzi wake walitangaza taarifa hizi jumapili hii kuwa wamepata mtot wa kike na Mama na mtoto wako salama.
  john ll 2 john ll

No comments:

Post a Comment