Latest News

Saturday, April 16, 2016

NEW MUSIC VIDEO: BEBE COOL - AFRICAN GIRL

Karibu kutizama video mpya kutoka kwa msanii Bebe cool wa nchini Kenya. Ni video ya wimbo wake wa African girl ambao aliuachia mwaka
jana.
Wmbo uliandikwa na Appas na video imefanyika Afrika kusini ikiongozwa na Clarence A peters (Capital Dream Films)

No comments:

Post a Comment