Baada ya kuachia audio ambayo bado inakick kwenye redio mbali mbali, Ya moto band wameachia video ya wimbo wao wa SU ambao wamemshirikisha Ruby.
Tizama kisha uache maoni yako pale chini....
Reviewed by Unknown
on
1:45:00 PM
Rating: 5
No comments:
Post a Comment