Staa wa kike wa muziki wa Bongofleva, Shaa ametuletea wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Sawa ambao umefanywa na Prodyuza Shirko.
Hii ni kwa usimamizi wa kampuni ya Sk Musik, Sikiliza na pakua kisha uache maoni yako.
Reviewed by Unknown
on
6:05:00 AM
Rating: 5
No comments:
Post a Comment