Latest News

Saturday, July 9, 2016

New Music Video: Meda - Alele | Watch and Download Free

Jina la Meda linazidi kukua kutokana na juhudi binafsi na nidhamu aliyo nayo katika kipawa chake. Baada ya kuzindua rasmi video yake ya Alele kwenye kipindi cha 5 Selekt cha EaTv ameamua kuileta kwako kupitia Chifu Mdogo Site.

Itizame na kuipakua kwa urahisi kabisa hapa chini.....

No comments:

Post a Comment