Latest News

Monday, July 18, 2016

Video: Tekno kuja na 'PANA'


Msanii kutoka Nigeria, Tekno anatarajia kuachia wimbo mpya unaokwenda kwa jina la Pana ambao umefanywa na prodyuza aliyetengeneza wimbo wake wa Where 'Selebobo'.
Kupitia mtandao wa Instagram Tekno ameshea Video yenye sauti ya wimbo wake huo mpya.
Ikiwa bado anahangaikia kuachia albam yake ya Half An Hour Tecno anaonekana kutaka kuzidi kuliweka jina lake kwenye soko 

la muziki Afrika na duniani.

Video ni hii chini...

A video posted by YourFavBoy 🎿Tafida 🇳🇬 (@teknoofficial) on

No comments:

Post a Comment