Latest News

Tuesday, October 18, 2016

Audio: Kijana aliyetobolewa macho atoa shukrani kwa misaada iliyoongezeka leo

fgt56333
Watu wameendelea kujitokeza kumsaidia kijana aliyetobolewa macho (Saidy Ally) huku Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akisimamia ili kuhakikisha vitu vinavyotolewa kwa kijana huyo vinamfikia.

Leo Oktoba 16, 2016 Bajaji mbili zimetolewa kutoka kwa Dkt (Syedna Mufaddal) ambae ni kiongozi wa mabohora duniani,na makabidhiano hayo yamefanyika katika msikiti wa Mabohora uliyoko Upanga jinini Dar es salaam.

Hii hapa ni taarifa ya habari hii kutoka Channel Ten, Bonyeza Play kusikiliza:-

No comments:

Post a Comment