Latest News

Saturday, July 29, 2017

AUDIO: Bifu La TID Na Q Chillah Lafuka Moshi!

Msanii mkongwe wa Bongoflava Tanzania Top In Dar Aka TID ameonyesha kukasirishwa baada ya kuulizwa kuhusu habari za bifu lake na msanii mwenzie Q Chief.

TID alielezea pia kidogo namna ambavyo alitukanwa na msanii huyo mwenzake baada ya kuingia eneo walilokutana.

Sikiliza Audio Hapa Chini.....

No comments:

Post a Comment