Leo Oktoba 16 tuzo za AFRIMMA ambazo hutolewa kila mwaka zikihusisha sanaa ya Afrika , zimetolewa Dallas Texas Marekani leo na tunajivunia sisi kama Tanzania kwa sababu tumewakilishwa na wasanii watatu.Watanzania walioshinda ni Dj D Ommy wa CloudsFM kupitia show mbalimbali ikiwemoXXL na AMPLIFAYA ambapo ameshinda tuzo ya Dj bora Afrika, mwimbaji Harmonizeakishinda tuzo ya msanii bora chipukizi Afrika 2016 huku Diamond Platnumzakishinda ya msanii bora wa kiume Afrika Mashariki.Wengine waliochukua tuzo ni Wakenya kundi la Sautisol walioshindakundi bora la muziki Afrika ikiwa ni tuzo iliyokua ikiwaniwa na Radio na Weasel wa Uganda, Os Moikanos wa Angola, Bracket wa Nigeria, Mi Casa South Africa, R2beeswa Ghana, Bana C4 wa Congo DRC na Yamoto Band wa Tanzania.Mkenya Akothee ameshinda msanii bora wa kike Afrika Mashariki, tuzo iliyokua inawaniwa na Victoria Kimani wa Kenya, Vanessa Mdee na Linah wa Tanzania, Aster Aweke na Tsedenia wa Ethiopia, Knowles wa Rwanda na Sheebah Karungi wa Uganda. Mkenya mwingine ni staa wa gospel Kenya Willy Paul ambaye ameshinda tuzo ya Best Gospel Act iliyokua ikiwaniwa na Frank, Uche, Sinach wa Nigeria, SP Koffi na Sonniewa Ghana, Icha wa Congo na Ntokozo wa South Africa.
List yote iko hiviiii:-
BEST DJ
DJ D OMMY AMESHINDA
DJ D OMMY AMESHINDA
BEST FEMALE EAST AFRICA
AKOTHEEE KASHIDA
AKOTHEEE KASHIDA
BEST NEW COMEER
HARMONIZE
HARMONIZE
BEST MALE WEST AFRICA
BISA KDEI
BISA KDEI
BEST MALE EAST AFRICA
Diamond
Best Female Central Africa
Daphne
Diamond
Best Female Central Africa
Daphne
BEST AFRICAN GROUP
SautiSol wameshinda
BestMaleSouthernAfrica
--------------------------------------------------------------------

No comments:
Post a Comment