Kufuatia operesheni inayoendelea jijini Dar Es Salaam ya kuwaondoa wananchi wanaoishi maeneo ya mabondeni inayoendeshwa na Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda, jana Machi 15 ilitokea changamoto ya mzee mmoja kubisha kuondoka eneo hilo kwa kusema mafuriko yatakuja na kuondoka.
Sikiliza sauti hii yenye picha kwa kubonyeza Play hapo chini:-
No comments:
Post a Comment