Mwanadada Vanessa Mdee kupitia ukurasa wake wa Twitter Leo March 17 anatukaribisha kuitazama video mpya ya wimbo alioshirikishwa na Msanii Orezi kutoka Nigeria ambao unaitwa Just Like That.
Tizama na kupakua hapa chini...
Reviewed by Admin
on
9:54:00 AM
Rating: 5
No comments:
Post a Comment