Latest News

Wednesday, July 13, 2016

Ajali ya moto Dar es Salaam leo Julai 13,2015 | Picha

Moto umetokea kwenye garage zilizopo eneo la jangwani Dar es salaam jirani na ofisi za klabu ya Yanga, hata hivyo chanzo cha moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa...

Nitakujulisha kinachoendelea kupitia vyanzo vya kuaminika....

Picha za ajali hiyo ni hizi chini kwa msaada wa MILLARDAYO
IMG-20160713-WA0007 IMG-20160713-WA0009 IMG-20160713-WA0010 IMG-20160713-WA0011

No comments:

Post a Comment