Latest News

Thursday, July 7, 2016

Msanii wa Iringa, Magumashi afulia amtaka mkewe ajiuze wapate matumizi geto



Msanii  na muigizaji wa movie Iringa Magumashi afulia vibaya kiasi cha kumtaka mke wake akatafute pesa za kula na kuendesha familia.
Mke wa Magumashi
Kisa hicho kimetokea hapo juzi ambapo mapapalazi walitonywa kuwapo kwa mgogoro huo na kuvizia ilikuudaka ukweli ndipo wakanyaka maongezi yao ambayo ni haya hapo chini kwenye audio.
Msanii huyo ambaye aligoma kabisa kuhojiwa na kuupinga ukweli huo akiwa na mkewake huyo aliejulikana kwa jina moja la Mama muwasho aligoma nae kulonga akisema atagombana na baba muwasho wake.

Zaidi kuufaidi udaku huu Download Audio hii hapa.

No comments:

Post a Comment