Msanii wa muziki wa kizazi kipya Izzo Biznes ameachia wimbo na mwanadada Abela Music ambao wanaunda kundi lao la The Amazing, wimbo unaitwa Dangerous Boy.
Wimbo umefanyika Uprise Music na Producer Duppy..... Video imeongozwa na Nick Dizzle.
Reviewed by Unknown
on
10:29:00 PM
Rating: 5
No comments:
Post a Comment