Latest News

Monday, July 18, 2016

New Music Audio: Chid Benz ft Raymond - Chuma | Listen and Download Free

Baada ya kutoka Sober house Chid Benz alikuwa kimya akijiweka sawa kwaajili ya kuvamia gemu la Bongofleva kwa mara nyingine, Tayari Chid Benz yuko sawa na kaachia hii joint inayokwenda kwa jina la Chuma ambayo amemshirikisha msanii kutoka Wcb RayVanny.

Sikiliza kwa KUBONYEZA HAPA


No comments:

Post a Comment