Pana muda kidogo tangu Y Tony aachie kibao cha wimbo wake unaokwenda kwa jina la Maritina, sasa Y Tony bado anataka kuupa nguvu wimbo huo kwani ameachia video yake.
Hebu itizame hapa chini na kisha uache maoni yako.
Reviewed by Unknown
on
5:26:00 AM
Rating: 5
No comments:
Post a Comment