Latest News

Tuesday, April 19, 2016

Nimekuletea wimbo wa Diamond platnumz unaotumika kutangaza kinywaji cha Coca Cola, Karibu kuisikiliza na kuipakua

Msanii Diamond Platnumz kutoka hapa 255 amekua akitumiwa na makampuni kadhaa ya biashara kutokana na jinsi ambavyo juhudi za kazi zake zinazaa matunda hadharani.

Safari hii kampuni ya Cocacola imemtumia kwaajili ya wimbo wa kutangaza biashara yao na nikaona sio vibaya nikakusogezea wimbo huo.

Karibu kusikiliza na kudownload hapo chini.

No comments:

Post a Comment