Latest News

Showing posts with label elimu. Show all posts
Showing posts with label elimu. Show all posts

Tuesday, May 23, 2017

Wanafunzi Watatu Wapoteza Maisha Geita Baada Ya Mtumbwi Kuzama

Watu watatu ambao ni wanafunzi wa Shule ya Msingi Butwa mkoani Geita wamefariki dunia baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kuzama katika Ziwa Victoria, mkoani Geita.

Kamanda wa Polisi Mkoani Geita amesema tukio hilo lilitokea jana majira ya saa 10 jioni wakati wanafunzi hao walipokuwa wakivuka maji kwa kutumia mitumbwi miwili wakitoka shuleni katika kisiwa cha Isimacheli  kurudi majumbani kwao katika kisiwa cha Lulegea.

Amesema wanafunzi hao jumla walikuwa 24 ambao walijigawa kwa kupanda wanafunzi 12 katika kila mtumbwi ambapo mtumbwi wa kwanza ulifanikiwa kuvuka salama, lakini mtumbwi wa pili ulielemewa mawimbi na hatimaye kuzama.

Amesema kwamba kabla mtumbwi huo haujazama, nahodha wa mtumbwi huo baada ya kuona anaelemewa aliamua kurudi nyuma ili aurudishe ufukweni lakini wakati akijaribu kurudi mtumbwi ulizidiwa na kuzama ambapo wanafunzi 9 wote wa kiume walinusurika baada ya kufanikiwa kuogelea huku watatu ambao wote ni wa kike wakipoteza maisha.

Amewataja waliofariki dunia kuwa ni pamoja na Kumbuka Bahati (13) mwanafunzi wa darasa la 3, Anastazia Mwita mwanafunzi wa darasa la 3 na Sophia Lusala mwanafunzi wa darasa la Kwanza.

Amesema mwili wa mwanafunzi mmoja ulipatikana jana majira ya jioni na miili miwili imepatikana leo ikiwa imeharibika vibaya

Jeshi hilo linamshikilia nahodha wa mtumbwi huo anayefahamika kwa jina la Hulugu Kayalenda na uchunguzi bado unaendelea.

Monday, May 15, 2017

Hatimaye Shule Ya Lucky Vicent Arusha Yaanza Utendaji Kazi Wa Kitaaluma


Shule ya Lucky Vincent ya jijini hapa imefunguliwa baada ya mapumziko ya wiki moja.
Shule hiyo ilifungwa  baada gari la shule hiyo kupata ajali na kusababisha  vifo vya wanafunzi 32, walimu wawili na dereva wao huku wengine watatu wakijeruhiwa.
Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Ephraim Jackson amesema wanafunzi wamefika kwa wingi shuleni na kwamba madarasa yote na wanafunzi wa darasa la saba wamefika 50 katika ya 71 huku watatu wakiwa kwenye matibabu nchini Marekani.
"Tumefungua leo na masomo yanaendelea kama kawaida,"amesema.
Pia shule hiyo imepokea wataalamu wa saikolojia kwa ajili ya kutoa msaada wa ushauri kwa wafanyakazi na wanafunzi.

Waziri Ndalichako Awatumbua Viongozi Wawili!


Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amewasimamisha kazi vigogo wawili hadi uchunguzi wa sakata la vitabu vya kufundishia utakapokamilika.
Waliosimamishwa ni Kaimu Kamishna wa Elimu na Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu (TIA) ambayo ndiyo imepewa idhini ya kusimamia ubora wa vitabu.
Kauli hiyo imetolewa bungeni leo (Jumatatu) kutokana na Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Esther Mmasi kutoa hoja ya kushika shilingi katika mshahara wa waziri akitaka uamuzi kuhusu suala hilo.
Hoja hiyo iliungwa mkono na wabunge wa kambi zote bungeni wakiwamo, Philipo Mulugo (Songwe -CCM), Peter Serukamba (Kigoma Kaskazini -CCM), Suzan Lyimo (Viti Maalumu -Chadema) na Mwita Waitara (Ukonga -Chadema).
Profesa Ndalichako akijibu hoja hizo, amesema ameunda tume kuchunguza suala hilo na kuwahakikishia kuwa waliohusika hawako katika taasisi ya TIA.
“Nawahakikishia kuwa baada ya kukamilisha uchunguzi kila aliyehusika atabeba msalaba wake,” amesema.

Thursday, March 30, 2017

AUDIO: MAPEPO YAVAMIA WANAFUNZI SHULE YA IMESELA SHINYANGA VIJIJINI,SHUHUDIA HAPA YAKIWATESA MBELE YA MKUU WA WILAYA


Ushirikina!! Ndivyo unavyoweza kusema…Wanafunzi wa shule ya sekondari Imesela iliyopo kata ya Imesela wilaya ya Shinyanga(Shinyanga vijijini) mkoa wa Shinyanga wamekumbwa na mapepo yanayowafanya waanguke na kupiga kelele wakitamka maneno yasiyoeleweka huku wakiwataja baadhi ya watu wanaofanya ushirikina huo.

Tatizo la wanafunzi wa kike kuanguka na kupiga kelele shuleni hapo lilianza mwezi Januari mwaka huu lakini hali hiyo ilikithiri Machi 20 mwaka huu ambapo wanafunzi takribani 16 wakianguka na kuanza kutamka maneno wakiwataja baadhi ya watu wanaofanya ushirikina shuleni hapo. 

Wanafunzi hao wamekuwa wakiugua ugonjwa usiojulikana wa kuanguka na kupoteza fahamu na kutamka maneno yasiyoeleweka kitendo ambacho kinahusishwana imani za kishirikina.

Inaelezwa kuwa mapepo hayo huwasumbua hasa wanafunzi wa kike mara tu wanapofika shuleni majira ya saa moja na nusu asubuhi mpaka saa tano lakini pia kuanzia saa saba mchana mpaka saa tisa alasiri wanapotawanyika kurudi majumbani mwao.

Aidha inadaiwa kuwa wanafunzi hao mara tu wanapopatwa na mapepo hayo huanguka na kupiga kelele huku wakigaragara na kuwarushia ngumi wanafunzi wenzao.
Shule ya sekondari Imesela iliyoanzishwa mwaka 2006 ina jumla ya wanafunzi 252 kati yao 130 ni wa kike na 122 ni wa kiume huku walimu wa wakiwa 14 ambapo mmoja pekee ni mwanamke.
Walimu wa shule hiyo wanasema vitendo hivyo vya kishirikina vinaathiri utaratibu wa vipindi vya wanafunzi hao ambapo wamekuwa wakitumia muda mwingi kusaidiana na wanafunzi wa shule hiyo kuwasaidia wanafunzi wanaopatwa na majanga hayo.
Mkuu wa shule hiyo Seleman Kalavina amesema mauza uza huanza kila siku asubuhi pindi tu wanapofika shuleni hali inayowafanya wanafunzi kupoteza muda wao wa masomo huku ikiwakatisha tamaa walimu wa shule hiyo kufundisha na kutamani kuhama shule hiyo.
Mratibu wa Elimu kata ya Imesela Julius Wamba amesema wamefanya jitihada za kuwaita viongozi wa dini kufika shuleni na kufanya maombi ili kumaliza tatizo hilo lakini mara tu wanapoondoka tatizo hujirudia. 

Kutokana na mauza uza hayo,leo Jumatano Machi 29,2017 mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama amelazimika kufika katika shule hiyo na mara baada tu ya kufika mashetani yakawapanda wanafunzi hao. 

Mkuu huyo wa wilaya amelazimika kuifunga shule hiyo kwa muda siku mbili ili viongozi na wananchi wa eneo hilo wakutane naye siku ya Ijumaa wiki hii ili kujadili namna ya kumaliza tatizo hilo. 

“Serikali haiamini ushirikina,hivi vitendo mnavyofanya siyo vizuri,watoto wanashindwa kusoma kwa sababu ya ushirikina wenu,tena mnawatesa watoto wa kike tu,hamtaki wasome mnataka kuwaoa? Si mkarogane wenyewe muwaache watoto wasome,nataka siku ya Ijumaa wote tukutane hapa tujadili namna ya kuw
asaidia wanafunzi hawa”,alisema Matiro. 

Malunde1 bog imeshuhudia wanafunzi hao wakianguka ovyo na kutamka maneno ya ajabu ajabu huku wengine wakitaka kupigana mpaka pale wanafunzi wenzao wanapoamua kuwakamata na kuwafunga na nguo mikononi na miguuni ili wasikimbie kisha kuanza kuwafanyia maombi.

Source: Malunde

Friday, March 17, 2017

Adhabu kwa mwanafunzi yamponza mwalimu, anashikiliwa na jeshi la polisi


Jeshi la Polisi Mkoani Tanga linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Sekondari Mkwakwani kwa kumpiga na kumsababishia madhara ya kiafya mwanafunzi, Suleiman Mohamed (18).
 
Mwanafunzi huyo inadaiwa alichapwa viboko juzi asubuhi na mwalimu huyo wa zamu aliyekuwa akiwaadhibu wanafunzi waliochelewa na waliokuwa wakipiga kelele darasani.
 
Aidha, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Benedict Wakulyamba amesema tayari mwalimu huyo yuko mikononi mwa Jeshi hilo na upelelezi wa suala hilo unaendelea.
 
Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Thobias Mwilapwa amewataka walimu kuwa waangalifu wakati wakiwaadhibu wanafunzi ili kukwepa madhara kwa wanafunzi.
 
“Tunalifuatilia kwa karibu tukio hili. Niseme kwamba tutachukua hatua stahiki ikithibitika kuwa umefanyika uzembe,” amesema Mwilapwa.
 
Hata hivyo, Baada ya kuchwapwa  mwanafunzi huyo alikimbizwa katika Hospitali ya Rufani ya Bombo kwaajili ya matibabu ikielezwa kwamba tayari amepatiwa rufaa kuhamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya matibabu zaidi.

Tuesday, February 28, 2017

Mkuu wa shule Mkoani Singida ajinyonga hadi Kufa


Mkuu wa Shule ya Sekondari Tumuli katika Wilaya ya Mkalama, mkoani Singida, Richard Makala (58) amejinyonga kwa kamba kutokana na kile kinachodhaniwa ni upweke.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Debora Magiligimba, amesema mjini Singida kuwa Mkamala alikutwa amejinyonga kwa kutumia kamba iliyotengenezwa kwa vipande vya chandarua iliyofungwa juu ya mti umbali wa mita 130 kutoka nyumbani kwake.

Aidha kamanda huyo alisema chanzo cha tukio hilo hakijajulikana na kwamba hakuna mtu au watu wanaoshikiliwa kutokana na tukio hilo na kuongeza kuwa polisi inaendelea na upelelezi kubaini kilichomsibu mwalimu huyo.

Kwa upande wake Mjumbe wa Bodi ya shule hiyo, Mabruki Ng’ui ameliambia gazeti la Habarileo Jumatatu hii kuwa mwalimu huyo alikuwa anaishi peke yake kwa muda mrefu baada ya mkewe ambaye ni Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Tanzania (KKKT) Kitusha wilayani Iramba kuamua kutengana naye kutokana na unywaji pombe.

“Huyu bwana amekuwa kwenye ndoa ya jina tu maana mke wake amekuwa akiishi mbali naye kwa kipindi kirefu sana, amekuwa mpweke kwa muda mrefu mno huenda hicho ndicho kilichosababisha ajitoe roho yake,” amesema Mjumbe huyo wa Bodi.

Marehemu Makala ni mzaliwa wa kijiji cha Ndago, wilayani Iramba na anatarajiwa kuzikwa leo nyumbani kwake, ameacha mjane na watoto watano.

Friday, October 21, 2016

Rais Magufuli Aweka Jiwe La Msingi Mradi Wa Hosteli Za Wanafunzi Katika Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 21 Oktoba, 2016 ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa mabweni 20 ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3,840 ikiwa ni utekelezaji wa ahadi aliyoitoa Mwezi Juni mwaka huu wakati wa sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa maktaba ya kisasa ya chuo hicho.
Wakati Rais Magufuli akiweka jiwe la msingi la mradi huo, tayari ujenzi umefikia asilimia 75 ambapo majengo 20 yaliyounganishwa kimuundo yamefikia ghorofa ya nne na ujenzi huo unaofanywa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) unatarajiwa kukamilika ifikapo tarehe 30 Desemba, 2016.
Akizungumza kabla ya kuweka jiwe la msingi Rais Magufuli aliyeambatana na Mkewe Mama Janeth Magufuli ameipongeza TBA na wadau wote wanaoshiriki katika ujenzi huo zikiwemo Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa hatua kubwa ya ujenzi iliyofikiwa tangu ujenzi uanze tarehe 01 Julai, 2016 na amebainisha kuwa kwa kutumia TBA mradi huo utatumia kiasi kidogo cha fedha.
"Nawapongeza sana TBA kwa kazi nzuri mliyoifanya mpaka sasa, mradi huu utatumia Shilingi Bilioni 10 tu, Wakandarasi kutoka nje walitaka kujenga mabweni haya ya wanafunzi kwa Shilingi Bilioni 100, sasa mtaona wenyewe tumeokoa Shilingi ngapi" amesema Rais Magufuli.
Aidha, Rais Magufuli ameahidi kuwa, kwa kuwa majengo hayo yanauwezo wa kubeba ghorofa sita, Serikali itafanya utaratibu wa kutumia moja ya likizo za wanafunzi kuongeza ghorofa nyingine mbili ili kuwawezesha wanafunzi wengi zaidi kupata nafasi.
Kuhusu mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu Dkt. Magufuli amesema Serikali imetenga Shilingi Bilioni 483 kwa mwaka huu ambapo wanafunzi takribani 93,000 wanaoendelea na masomo na wanafunzi takribani 25,000 watakaoanza masomo watapatiwa mikopo lakini ameweka bayana kuwa mikopo hiyo itatolewa kwa wanafunzi ambao wanatoka kwenye familia masikini.
Rais Magufuli ameiagiza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kurekebisha dosari zilizopo katika mfumo wa utoaji wa mikopo ikiwa ni pamoja na upangaji mbaya wa wanafunzi katika vyuo, kutoa mikopo kwa upendeleo, kutozingatia sifa za mkopaji, kutoa mikopo hewa na kufungua vyuo kabla ya mikopo ya wanafunzi kutolewa na pia amewaonya wanafunzi kujiepusha na vitendo visivyofaa wakati Serikali inarekebisha dosari hizo.
"Na ndio maana wakati mwingine na wabaya wanapitia humo humo, mara fanye hivi fanyeni vile, wakati wanajua kuwa mkifanya yasiyofaa Serikali itawafukuza tu ili mkafanyie mambo yenu huko.
"Kwa sababu huwezi kuwa unahangaika kutafuta fedha za kuwapa mikopo, wakati huo huo unahitaji kujenga reli, wakati huo huo unahitaji kujenga barabara, wakati huo huo unahitaji kulipa mishahara, wakati huo huo unahitaji kutoa elimu bure, wakati huo huo Karagwe kuna njaa, wakati huo huo watu wanahitaji dawa hospitali, halafu watu wengine wanataka kukuendesha kana kwamba hela unayokusanya ni kwa ajili yao tu, ni lazima tuelewane na mimi ninataka kuwaeleza kwa dhati lazima twende katika njia iliyonyooka, ni bora uwe Rais usiye maarufu lakini utimize uliyoyaahidi, asitokee mtu wa kukuendesha, ninajua mmenielewa" amesisitiza Dkt. Magufuli.
Dkt. Magufuli ameiagiza Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kujipanga vizuri kukusanya marejesho ya mikopo kwa wote waliokopeshwa na bodi hiyo ambapo mpaka sasa bodi inadai takribani Shilingi Trilioni 2.6.
Awali akitoa taarifa ya mradi huo, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Prof. Rwekaza Mukandala amesema wakati ujenzi huo ukiendelea chuo kimetenga Shilingi Bilioni 4.5 kutoka kwenye mapato yake kwa ajili ya kununua samani ikiwa ni pamoja na vitanda vya wanafunzi na pia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia itashughulikia ujenzi wa uzio, jiko na bwalo la chakula.
Hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Wabunge, Makatibu Wakuu na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Paul Makonda.
Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
21 Oktoba, 2016

Wednesday, October 19, 2016

Mwigulu Nchemba Afafanua kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya kitaaluma na kutumia jina la mtu mwingine.

Wakati Serikali ikitangaza msako kwa watu walioghushi vyeti na kutumia majina ya watu wengine, Waziri wa mambo ya ndani ya Nchi, Mwigilu Nchemba, ameibuka na kutoa ufafanuzi wa utata wa majina yake.
Hatua hiyo imekuja baada ya kuibuka kwa mjadala wa usahihi wa majina yake pamoja na kuhusishwa kughushi vyeti ya elimu.
Katika andiko lake aliloliweka jana katika mitandao ya kijamii ambalo baadaye lilithibitishwa na mmoja wa wasaidizi wake, Mwigulu alisema watu wanaoandika historia yake hawamjui kwani uhalisia alikuwa akiitwa Lameck Madelu Mkumbo, sasa Lameck si jina la Kinyiramba na Madelu si jina halisi la baba yake bali la utani.
“Ni vema kuweka rekodi sawa, kwanza anasema (aliyeandika) nilikuwa naitwa Lameck Madelu Mkumbo, sasa moja Lameck sio jina la kinyiramba, na Madelu sio jina halisi la baba bali ni utani kuwa ana ndevu nyingi, yaani ni mandevu. Ndiyo maana hata kwenye ubunge nililiongeza tu kama a.k.a ili watu, hasa wazee wanifahamu, hili haliko kwenye vyeti.
“Hili la Lameck siyo jina la Kinyiramba ni jina la daktari aliyenipokea zahanati iliyopo Kijiji cha Mukulu, daktari tunaita hivyo, lakini ni nesi ndiye aliyekuwa anaitwa Mwigulu na jina la kizungu Lameck.
“Mimi nilipelekwa hospitali nikiitwa Mugulo na jina la ukoo kwa watoto wote wa kiume ni Shumbi, ambalo hata hivyo wanatumia wazee tu, wanaojua Kinyiramba hilo ndio jina la Kinyiramba,” alisema Mwigulu na kuongeza:
“Mama yangu aliulizwa jina akanitaja kwa muuguzi (nesi) akamwambia mama unamwitaje jina hilo hakuna lingine, mama akamwambia hakuna labda mtaje wewe, basi jamaa akajitaja,” alisema.
Alisema suala hilo ni jambo la kawadai hasa kwa kijijini kwani familia inakuwa na watoto wengi hadi majina inakuwa si jambo la kujali.
“Hata pale kijijini kuna wengine waliotajwa majina ya waganga wa kienyeji wazee walikopewa dawa, majina ya manesi, matabibu kama mimi, majina ya walimu,” alisema.
Akizungumzia maisha yake ya elimu, alisema aliacha shule kwa mara ya kwanza mwaka 1984 baada ya kuanza na kaka yake aliyemtaja kwa jina la Jugulu.
Mbunge  huyo wa Iramba alisema kutokana na hali hiyo, baba yao aliwataka wapeane zamu ya kwenda shule hali iliyomfanya aache shule.
“Mwaka 1985, nikaachia darasa la tano nikaenda kuchunga miaka kama miwili. Nikarudi tena baada ya mifugo kuanza kufa sana, mzee akashauriwa awekeze kwenye elimu. Walimu walikuwa wanashinda nyumbani kumsihi anirudishe shule, ndiyo nikarudi na nikachukua majina ya daktari.
“Mtu asichanganye kuona ni udanganyifu, mimi sijachukua vyeti vya mtu. Nimefanya mitihani tena kwa kupiga na picha za passport ili mtu asitumie haki ya mtu mwingine aliyefaulu na mpaka sasa naona ni struggle (kupambana) za mfano, kuwa nilisoma kwa mazingira ya kutoka kuchunga na kurudishwa shule na kufaulu mwenyewe,” alisema Mwigulu.
Waziri huyo alisema kwa anayetaka kuthibitisha maelezo aliyotoa, anaweza kuwauliza aliosoma nao shule ya msingi.
“Comrades kwa mawazo yangu kosa ni mtu kuchukua nafasi ya mtu aliyefaulu na kwenda yeye, hapo ni kuiba haki ya mtu. Najua hii ilikuwa ikitokea baadhi ya maeneo, mtu anafaulu ila anakuwa hataki kwenda shule au amefariki then anakwenda mwingine. Mimi sijawahi chukua nafasi ya mtu.
“Halafu watu wanasema jina la mtu, labda kama wanamaanisha tofauti na wizi wa jina kwani kila mmoja hapo alipo ana jina la mtu, yaani atakuwa John wa Biblia, Mohamed wa Quran, litakuwa la babu, bibi la mganga, daktari, rafiki, kiongozi au hata la tukio.
“Nijuavyo jina unakula kiapo tu kama sio la kwako kisheria na unatumia, na hata sasa nikitamani jina jipya nakula kiapo na kutangaza katika Gazeti la Serikali na lisipopingwa ndiyo linakuwa jina langu jipya.
“Hoja ni kama mtu kapora cheti cha mtu, kapora nafasi ya mtu mwingine aliyefaulu akaenda kuisomea yeye. But, things do change pia kutokana na nyakati na mazingira,” alisema Mwigulu.

Tuesday, October 18, 2016

Walimu wanaoidai serikali wamekuja na njia mpya

Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimetoa siku 15 kwa Serikali kumaliza madai yao ya muda mrefu vinginevyo watachukua maamuzi magumu.
Rais wa CWT, Gratian Mukoba amesema kuwa uvumilivu wao umeelekea kufikia ukingoni kwani wamekuwa wakikaa mezani na Serikali mara kwa mara na kupewa ahadi za kutatua matatizo yao lakini hadi sasa hazijatekelezwa.
Alisema kuwa Agosti  22 na 23 mwaka huu, Baraza la chama hicho cha walimu lilipitisha maazimio kupitia kikao chake, maazimio ambayo yalisainiwa pia na upande wa Serikali kwa ahadi kuwa wangeyafanyia kazi lakini imeendelea kuwa kimya.
“Siku chache baadae tuliambiwa tusubiri mchakato wa kuhakiki watumishi ukamilike. Lakini licha ya mchakato huo kukamilika Serikali imeendelea kukaa Kimya,” Mukoba anakaririwa na Tanzania Daima.
Aliyataja madai hayo kuwa ni pamoja na posho ya madaraka kwa wakuu wa shule, muundo wa madaraka, walimu kutopandishwa madaraja na kulipa madeni ya walimu.
“Ninachoweza kukwambia ni kwamba mwishoni mwa Oktoba ambao umebakiza siku 15 tutachukua uamuzi mzito ambao haujawahi kutokea na hatutaki lawakama kutoka sehemu yoyote ile,” alisema Mukoba.
Rais huyo wa CWT alidai kuwa ingawa Serikali imepiga hatua katika sera ya elimu bure na madawati, lakini mazingira ya walimu na ufundishaji yameendelea kuwa magumu hivyo ni vigumu kupandisha ubora wa elimu.

Monday, April 11, 2016

JINSI YA KUMNYONYA MWANAMKE MPAKA AKOJOE KABLA YA KUINGIZA UUME

Wanaume wengi hupenda sana “ngono ya mdomo” na wanawake wengi pia hupenda ngono ya namna hiyo kwaniwana enjoy sana, lakini ukweli ni kuwa hutakiwi kchukua muda mrefu sana ili mwanamke abaki na hamu ya kufanya mapenzi.Hivyo haiwezekani uchukue muda mrefu sana kwa vile unapochezea kisimi na kisha mwanamk...e kufika kileleni anahitaji muda wa kupumzika….ukiendelea bila kupumzika ni wazi kuwa atakuwa anazuga kuwa nafurahia kumbe hakuna kitu.
Mwanamke anatakiwa akae kwenye kochi/ na kupanua miguu yake au alale pembezoni mwa kitanda au kwenye kona ya kitanda kisha nyanyua miguu yake na aiweke kama anazaa (V-shape).
Hapo wewe mwanaume unatakiwa kushika sehemu ya ndani ya mapaja yake ili kukurahisishia kuzama vema na vilevile kumzuia yeye asikubane kichwa mara tu utamu utakapomkolea.
Sasa weka mdomo wako juu ya kisimi ktk mtindo wa kufunika kisha anza kunyonya ktk mtindo wa kubusu, yaani kama vile unalamba mabaki ya kitu kitamu/chakula kidoleni.
Hakikisha pua, kidevu au kwa kifupi uso wako haugusi sehemu yoyote ya eneo hilo unalofanyia kazi na vilevile kumbuka kutokimbilia kupenyeza ulimi wako kwenye uke (pale uume unapoingia) na badala yake wewe komalia kisimi tu…..na ukinyonye na kukilamba vile mpenzi wako anapenda au unaweza kuongeza ujuzi wako wa kutumia ulimi as long as unajua kuwa mpenzi anafurahia.
Kumbuka kila unapobadili “mtindo” wa kulamba kinyonye kisimi hicho ktk mtindo wa kubusu pamoja nakuwa hutoa utamu wa hali ya juu pia itakusaidia au kukupa nafasi yakupumzika na kupumua bila kukiacha kisimi (ukikiacha utampotezea utamu mwenzio hali itakayo kufanya uanze mwanzo).
Ukihisi anakaribia basi jaribu kufanya kama vile unakivuta kisimi kwa juu (kama unakinyofoa) lakini bila kusababisha “discomfort” huku ukiendelea na mnyonyo wako mpaka atakapo anza kukaza misuli ya miguu na kukandamisha kichwa chako kama vile anataka uingize chote kisha atajiachia…..hapo ndio kamaliza hiyo inachuka kati ya dk5-30 na wewe hamisha ulimi na mdomo wako kwenye mashavu, uke,pale uume unaingia na maeneo meingine ya karibu lakini sio kisimi kwani kwa wakati huo kinakuwa “sensitive”….huchukua muda wa dk10-20 kujirudia kama awali.
Onyesha unajali kwa kumuangalia usoni nakusifia eneo lake hilo huku unaendelea na safari yako ya kulamba-nyonya……ukiona anachangamka basi ujue ule u-“sensitive” umeisha na hapo unaweza ukarudi tena kwenye kisimi na kufanya kama awali na rudia kadiri uwezevya mpaka aombe msamaha kwamba inatosha na hawezi kufika tena (ukipiga bao nyingi inafikia wakati huwezi tena), kama ilivyo wa wanaume inafikia huwezi tena kutoa manii.
Kuna baadhi ya wanawake hupenda kuwapa wapenzi wao “mnato” wanapofanya mapenzi, kumbuka kuwa “mnato” au uvutwaji/nyonywaji wa uume unapokuwa ndani ya uke hauna uhusiano wowote na udogo wa uwazi wa uke wa mwanamke bali unauhusiano mkubwa na uimara wa misuli ya uke (kwa ndani).
Mkao mzuri au unaotakiwa ni kifo cha mende, kama ambavyo sote tunafahamu kuwa mkao huu wa “kilokole” au “romantic” una mitindo mingi, kifo cha mende ninachozungumzia hapa ni kile cha asilia kuwa mwanaume juu mwanamke chini.
Panua miguu yako ili aweze kuingiza na akisha ingiza tu badilisha upanuaji wa miguu yako na ipanue ktk mtindo ambao unadhani utakuwezesha ku-move kirahisi…..alafu mwachie aende juu-chini kisha mwambie atulize “kitenesi” ndani kwamba abaki humo-humo na wewe anza kujishughulisha huku ukimpa maneno matamu na mabusu lukuki “denda” ndio tamu zaidi na vilevile unaweza tembelea puani, masikioni, na shingoni.
Kumbuka wewe mwanamke utakapo amua kukata kiuno , kile kiuno tunaita cha kufanyia mapenzi sio cha kucheza mdundiko…..unapaswa kukata kiuno kinachowezesha kuubana,kuvuta na kuuachia uume humo ndani ya uke(Kwa madaha)…kisha badilisha kwa kwenda huku nahuku, juu chini bila mpenzi wako kusogeza msuli…..ili kuzuia hilo jaribu kushikilia kiuno chake au makalio yake ili iwe rahisi kwako kumrudisha chini pala atakapo taka kuinua sehemu hiyo kutokana na utamu anaupata. Haita mchukua muda mrefu na atapiz...

HOW TO GO DOWN ON HER

1. TAKE YOUR TIME

Don’t just go straight for the clit like most guys do, it’s a little too eager and doesn’t have any element of sexual tension which as you know is key to making her orgasm.
Begin by kissing lightly and licking all around the pussy, spend a few minutes doing this until she is squirming for you to go further.

2. LICK JUST BENEATH THE CLIT

After kissing and licking around the vagina, you then need to begin softly and slowly licking the area just beneath her clit (use both hands to spread her vagina lips).

CLICK DOWN TO WATCH PART TWO
https://image.freepik.com/free-icon/arrow-bold-down--ios-7-interface-symbol_318-34310.png