Leo May 15,
2017 Mkutano wa Saba wa Bunge la Kumi na Moja uliendelea Dodoma kwa maswali ya Wabunge kwa Serikali ambayo Mawaziri husika
waliyajibu.
Kati ya Wabunge waliopata nafasi ya kusimama na kuihoji
Serikali ni pamoja na Mbunge wa Mtama Nape Nnauye aliyetaka kujua hatma ya tatizo la mawasiliano jimboni kwake.
No comments:
Post a Comment