Latest News

Showing posts with label ENTERTAINMENT. Show all posts
Showing posts with label ENTERTAINMENT. Show all posts

Saturday, July 29, 2017

AUDIO: Bifu La TID Na Q Chillah Lafuka Moshi!

Msanii mkongwe wa Bongoflava Tanzania Top In Dar Aka TID ameonyesha kukasirishwa baada ya kuulizwa kuhusu habari za bifu lake na msanii mwenzie Q Chief.

TID alielezea pia kidogo namna ambavyo alitukanwa na msanii huyo mwenzake baada ya kuingia eneo walilokutana.

Sikiliza Audio Hapa Chini.....

Harmorapa Atoa Mtizamo Kuhusu Uongozi Wa Rais Magufuli

Msanii wa Bongo Fleva ambaye haishiwi vituko, Harmorapa amekunwa na utendaji kazi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt John Pombe Magufuli wa kubana fedha kitu ambacho kimewafanya watanzania kutumia pesa kwa nidhamu.

Harmorapa amesema kipindi hiki cha awamu ya Rais Magufuli kimewafanya watanzania kuithamini pesa ikiwa ni pamoja na kupunguza matumizi yasiyo na ulazima kitu ambacho ni tofauti kabisa na kipindi cha nyuma.
“Kwanza mimi nimpe tu pongezi kwa sababu amefanya watu wengi sana wajue kuhangaika na wajue kufanya kazi tofauti na kipindi cha nyuma watu walikuwa wazembe”,amesema Harmorapa baada ya kuulizwa swali la kuhoji utendaji kazi wa Rais Magufuli kwenye kipindi cha Twenzetu cha Times FM.
Hata hivyo, Harmorapa amesema awamu hii ya tano Serikali imekuwa ikihimiza sana vijana kufanya kazi kuliko kuendekeza starehe kitu ambacho kimewafanya vijana wengi kujituma na kupata molali ya kufanya kazi.

Saturday, July 15, 2017

AUDIO: "SAUTI YANGU NDIO IMEINYANYUA YA MOTO BAND" ENOCK BELLA


Mmmoja kati ya wasanii wanaounda kundi la Ya Moto Band, Enock Bella, amefunguka na kuelezea sababu iliyofanya wimbo wake unaokwenda kwa jina la Mkuyu kuvuja.

Bella amesema huenda wimbo huo ungekuwa ni mkubwa ila kutokana na kuwahi kutoka ikiwa yeye bado hajaridhia ndio sababu iliyofanya wimbo huo pia kutofanya vizuri.

Akizungumza na kipindi cha ENEWS kinachorushwa na EATV  Bella amesema kuwa kwa upande wa sauti yake anafikiri ndiyo iliyolibeba kundi la Ya Moto Band kwa upekee iliyo nao. Bella alieleza hayo baada ya kuulizwa kuwa kati ya vitu vinavyofanya kundi lao lisifanye vizuri sauti yake huenda imechangia.

Bonyeza Play Hapa Chini Kumsikia Bella Mwenyewe.

( In English )

One of the artists composing the band of Ya Moto Band, Enock Bella, has uncovered and explains the reason why his song goes on the name of the Mkuyu leakage.

Bella said the song might have been bigger than ever since he had not yet enjoyed it's the reason why the song was not doing well.

Speaking of the ENEWS programme under review by EATV Bella, he said that in his voice he thinks that carried the Ya Moto Band group to his own. Bella explained this after being asked that among the things that caused their group to do not properly her voice might have contributed.

Tuesday, July 11, 2017

Eric Omondi kuja na Untamed 10

Mchekeshaji kutoka Kenya ambaye ni shabiki mkubwa wa msanii Diamond Platnumz wa Tanzania, Erick Omondi anataraji kuja na filamu mpya ya Untamed 10.

Filamu ya Untamed 10 itakuwa ikionyesha mambo ya manabii mbali mbali wa Mungu. Kupitia akaunti yake ya Instagram amepost picha akiwa katika utengenezaji wa filamu hiyo.


Sunday, July 9, 2017

2017 NEA: Wizkid, Davido, Tekno Snag Multiple Nominations | See Full List Inside


The 2017 NEA is here again.
Organizers of the award show set to take place on September 3, 2017 in New York City, have released the full nominees list.

See ful liselow:
Best Single
Wizkid – Come closer ft Drake
Phyno – Fada Fada ft Olamide
Davido – IF
Tekno – Pana
Psquare – Bank alert
Olamide – Who you epp
Mr Eazi – Leg over
Runtown – Mad over you


Best Africa Female Artist [Non-Nigerian]
Amanda Black [SA]
Victoria Kimani [KQ]
Becca [GH]
Vanessa Mdee [TZ]
Butera Knowless [RW]
Sheeban Karungi [UG]
Efya [GH]
Queen Vee [ZIM]

Best Afropop Male Artist
Davido
Mr Eazi
Kiss Daniel
Runtown
Tekno
Wizkid

Best Afropop Female Artist
Omawumi
Niniola
Seyi Shay
Simi
Tiwa Savage
Yemi Alade

Best Album
Adekunle Gold – Gold
MC Galaxy – MMM
Falz & Simi – Chemistry
Olamide – Glory
Kiss Daniel – New Era
Phyno – The Playmaker
Mr Eazi – Life Is Eazi
Davido – Son Of Mercy

Best Diaspora
Wale
Rotimi
Ayo Jay
Bils
Jidenna
Jaycube
Wurld
Tinnie Tempah
Black Excellence

Best Diaspora TV star
Rotimi [Power, Starz]
Chke Okonkwo [Being Mary Jane]
Uzo Aduba [OITNB]
Yvonne Orji [Insecure]
Dayo Okeniyi [Shades Of Blue]
Okieriete Onaodowan [The Get Down]

Best Africa Male Artist
Casper Nyovest [SA]
Stonebwoy [GH]
Diamond Platnumz [TZ]
Sarkodie [GH]
Eddie Kenzo [UG]
Sauti Sol [KQ]
Nasty C [SA]
Toofan [TG]

Best Actor
Blossom Chukwujekwu [Okafor’s Law]
Gabriel Afolayan [Somewhere In The Dark]
OC Ukeje [North East]
Ramsey Nouah [76]
Sambasa Nzeribe [Slow Country]
Wale Ojo [The CEO]

Best New Act
Tjan
Dremo
Dotman
Mayorkun
Sugarboy
Zoro

Best Actress
Rita Dominic [76]
Funke Akindele-Bello [A Trip To Jamaica]
Sola Sobowale [The Wedding Party]
Ireti Doyle [The Arbitration]
Adesua Etomi [Ayamma]
Ivie Okujaye Egboh [Slow Country]

Best Lead Role In Film [Non-Nigerian]
Ama K Abebrese [Lotanna]
Chris Attoh [The In-Laws]
Korto Davis [Comfort Zone]
Majid Micheal [Ayamma]
Jackie Appiah [Sala]
Yconne Okoro [Ghana Must Go]

Best Rap Act
Falz
Ice Prince
Mz Kiss
Olamide
Phyno
Skales

Best Indigenous
9ice
Adekunle Gold
CDQ
Flavor
Olamide
Phyno

Best Music Video
Aduke – Tjan [DIR: Kemi Adetiba]
All Over – Tiwa Savage [DIR: Patrick Ellis]
Bank Alert – Psquare [DIR: CP]
Come Closer – Wizkid [DIR: Daps]
IF – Davido [DIR: Q]
YOLO – Seyi Shay [DIR: Maji Alabi]

Best Collabo
Come Closer – Wizkid Ft Drake
Iskaba – Wande Coal FT DJ Tunez
Ko Funny – CDQ FT Davido
Only Girl – Adekunle Gold FT Moelogo
Temper – Skales FT Burna Boy
Up To Something – Iyanya FT Don Jazzy & Dr Sid

Best Picture
76
Ayamma
Lotanna
Oloibiri
Somewhere In The Dark
The Wedding Party

Best Director
Chris Eneaji [Ayamma]
Eric Aghimien [Slow Country]
Muyiwa Aluko [ North East]
Steve Gukas [93 Days]
Toka MCbaror [Lotanna]
Walter Banger [ Cath. Er]

Best Supporting Actress
Adunni Ade [It’s Her Day]
Ini Dima Okojie [North East]
Judith Audu [ Not Married]
Kehinde Bankole [The Dinner]
Somkele Iyama [The Arbitration]
Theresa Edem [Ayamma]

Best Supporting Actor
AY [A Trip To Jamaica]
Gbenga Titiloye [North East]
Nkem Owoh [Ghana Must Go]
Richard Mofe Damijo [ Oloibiri]
Rotimi Salami [Just Not Married]
Jide Kosoko [Lotanna]

Best Inspiration
Cobhams Asuquo
Frank Edwards
Nathaniel Bassey
Sinach
Timi Dakolo
Waje

Best Entertainment Executive
Don Jazzy [Mavin]
Idris Olorunnimbe [The Temple Company]
Emperor Geezy [GWW]
Paul O [Upfront & Personal]
E-Money [Five Star]
Tobi Sanni Daniel [State Of Mind]
Adetoro Fawoshere [Right Entertainment]
Dbanj [Cream Platform]

Best Photographer
Kelechi Amade
TY Bello
Obi Somto
Sunmisola Olorunnisola
Tobbinator
Anuel

Best OAP
Gbemi Olateru [Beat FM]
Tosin Bucknor [Top Radio]
Big Tak [Urban Radio]
N6 [Cool FM]
Osam [Naija FM]
Yaw [Wazobia]

Best TV Show
Big Brother Naija
Jenifa’s Diary
Meet The Inlaws
Nigeria Police’s Beyond Your Sight
Our Best Friend’s Wedding
The Life Of A Nigerian Couple

Best Lead TV
Efe [Big Brother Naija]
Funek Akindele [Jenifa’s Diart]
Lilian Esoro [Meet The Inlaws]
Okey Uzoeshi [The Life Of A Nigerian Couple]
Oreka Godis [Our Best Friend’s Wedding]
Seyitan [Here & Now – The ADV of Tasa]

Best Online Comedy
Craze Clown
Emmanuella
Chief Obi
Wole Arole & Asiri
Foxy P
Wowo Boyz

Best TV Lifestyle Presenter
Seyitan [The Sauce]
Ehiz [MTV]
Bolanle Olukanni [EL]
VJ Adams [Soundcity]
Stacy Ike [Own TV]
Nancy Isime [Hip TV]


Best Afro Soca Artist
Fay-Ann Lyons
Machel Montano
Melly Rose
Olatunji Yearwood
Skinny Fabulous
Teddyson Johnson


Best Dancehall
Burna Boy
Cynthia Morgan
Ketchup
Harrysong
Patoranking
Timaya


Best Music Producer
DJ Soupamodel
Kriz Beatz
Masterkraft
Spellz
Young D
Sarz
Legendury Beatz
Young John


Most Promising
Deshinor
Gabzy
Ike Chucks
Moelogo
Nonso Amadi
Odunsi


Best Disc Jockey
DJ Jimmy Jatt
DJ Neptune
DJ Humility
DJ TTB
DJ Spinall
DJ Prince
DJ Xclusive
DJ Consequence


Best Diaspora Disc Jockey
DJ Dee Money
DJ Femsta
DJ GQ Mike
DJ EL G
DJ Tunez
DJ Cuppy
DJ Ecool
DJ Afoo


Best DJ Non-Nigerian/African
DJ Lebbie (SL)
DJ Mensah (GH)
DJ Bossman (LIB)
DJ Joe Mfalme (KQ)
DJ Slick Stuart & Roja (UG)
DJ Vyrusky (GH)

Saturday, July 8, 2017

ALI KIBA DEFINES Why Yvonne Chaka Chaka and Davido Collabo do not come out

In the past, there were reports of Alikiba doing colabo with Yvonne Chaka Chaka and Davido but still not coming out, now Alikiba has talked about it.

Bongo Fleva's singer who last December appeared in a South African studio with Yvonne Chaka Chaka, told XXL of Clouds FM that work with the Mother's Son was done except that plans were set first.

"The shortest of the songs and procedures we did as you saw when we were studio but there should be a schedule that you have not just done and then you give. There are plans already available and every song will come out of time, and my song comes soon I can not say when, "she said.

Regarding colabo and Davido he said, "you know artists as artists sometimes we have words that satisfy people but reality has never been done unless the plan is to do and time we find we'll do it I do not know when it's at the top of the songs that I have so many," he insisted.

In 2015 Davido ever been asked about colabo and Alibaba and his answer was, "I have a song coming out with Steal too, that's gonna be crazy".

Saturday, June 10, 2017

Weusi Sasa Kukuchezesha Na " Naliamsha Dude "


Wasanii wanaojumuisha kundi la Weusi namzungumzia G Nako, Nikki Wa Pili na Joh Makini wameamua kuwauliza mashabiki zao kuhusu kuachia wimbo wao mpya ambao umetumika kwa hashtag ya Naliamsha Dude.

Kupitia akaunti zao za Instagram waliweka kipande cha video kama kinavyoonekana hapo chini kikiwa na maneno yafuatayo:-

%TUNAIKATIAA PALEE KATA!! 😂😂😂😂 NOBODYSAFE!! MTASEMA TUTOE LINI JAMAANI TUMEWACHIA MUAMUE!!🙏🏼🙏🏼🙏🏼 #NALIAMSHADUDEE#nuru #luckyme#qualitytime #maole%

Una lolote la kuzungumza, dondosha maoni yako pale chini.........................

Wednesday, June 7, 2017

VIDEO: Nisha Kwenye Penzi Jipya La Jamaa Aliyekuwa Na Shilole?


Kuna uvumi kutoka Bongo ukimhusisha staa wa Bongo movie Nisha au #Nishabebee kutoka kimapenzi na mpenzi wa zamani wa @Shilole, Caro.
Nisha amesema kutoka kimapenzi na mtu aliyeachana na mtu sio dhambi na kama kuna ukweli wowote kuhusu hilo itajulikana.

Msikilize zaidi hapa chini.

Povu La Miss TZ Juu Ya Bongo Movie


Mrembo ambaye ni Miss Tanzania 2016 Diana Edward amesema kuwa hana nia wala malengo ya kuingia kwenye industry ya uigizaji Bongo maarufu kama Bongo Movie tofauti na warembo wengine wa tasnia ya urembo ambao mara nyingi wamekuwa wakiingia huko baada ya kumaliza muda wao.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diana ameweka wazi kuwa malengo yake ni kuweka nguvu kwenye kampeni yake ya dondosha wembe inayolenga kuleta elimu kuhusu ukeketaji nchini hivyo mashabiki wake wasisubiri yeye kujiunga na bongo movie .
“Niweke hili wazi, malengo yangu yapo kwenye Kampeni yangu ya Dondoshawembe si vinginevyo. Bongo movie Hapana Hapana Hapana. filamu za kuelimisha sawa” – Diana Flave.

Sunday, May 28, 2017

AUDIO: "Sitaki Tiffah Awe Msanii, Watmla Sana" Diamond Platnumz


Msanii Diamond Platnumz bado yupo Kenya, amefanya interview kwenye show moja na amefunguka akisema kuwa hatopenda mtoto wake wa kike Tiffa awe mwanamuziki akihofia kufuatwa sana na wanaume kitu ambacho kitamuumiza.
"Watamla sana". Diamond Platnumz.

Msikilize hapa chini.

Tuesday, May 23, 2017

Msanii Ben Pol Azungumza Kuhusu Picha Yake Ya Utupu


Msanii Ben Pol amezungumza kuhusu picha yake ya utupu iliyozua maswali mengi na kusababisha kuleta picha mbaya kwenye jamii.

Kupitia AyoTv Ben Pol amesema kuwa yeye kama msanii anapaswa kuelezea kitu kwenye ukweli ili kuonyesha uhalisia kupitia sanaa yake. Ben Pol amesema kuwa Msanii anatakiwa kuzingatia vitu kadhaa katika kuonyesha uhalisia ikiwemo haki, uwazi na mazingira halisi hususan kwa picha aliyoiwekwa.
Ben Pol alisema kuwa Wazazi walimpigia simu na kuuliza kuhusu usalama wake hususan mama yake ambaye hakupata usingizi.

"Baba yangu alinipigia simu akaniambia vipi mwanangu uko wapi, uko salama kweli?". Alisema Ben Pol.
Aidha Ben Pol amesisitiza kuwa hiyo ni Project yake mpya inayokuja ambayo kabla hajafanya hivyo amesema kuwa project hiyo imeshapitiwa na watu si chini ya watano ili waweze kuiruhusu kuweza kuweka kwenye mtandao wa Instagram na sehemu nyingine.


Monday, May 22, 2017

AUDIO - Nay Wa Mitego Wa Mitego Asema Alimcheki Ben Pol Kuhusu Picha Ya Uchi Lakini Hakujibiwa


Msanii ambaye pengine husifika kwa upole Tanzania, Benard Paulo aka Ben Pol ametikisa mtandao wa Instagram baada ya kupost picha akiwa mtupu na akiwa amefungwa kamba mikono miwili kwa nyuma.
Picha hiyo imeweza kuleta tafsiri ya sintofahamu kwa wasanii wenzake pamoja na mashabiki na ikiwa tayari imeshapostiwa kwenye mitandao mbalimbali.

Kati ya wasanii waliozungumza ni Nay wa mitego ambaye ameonyeshwa kushangazwa na kitendo cha Benpol kupost picha hiyo na kusisitiza kuwa labda wangekua wasanii wengine wenye skendo za hapa na apale kama yeye isingeshangaza.

Wasanii wengine waliozungumza ni Shiole na Kala Jeremiah ambao wamehojiwa na Ayo Media.

Nimekuwekea audi hapa chini kama hukupita kwa MillardAyo

Friday, May 12, 2017

DARASSA Ameiba Wimbo Wa HASARA ROHO?, Sikiliza Hii!



Thursday, April 6, 2017

AUDIO: Mke Wa Roma Athibitisha Kutokuwa Na Taarifa Za Kutokuonekana Kwa Mume Wake!


Wasanii watatu ambao ni Roma, Monii Central Zone, Bin Laden pamoja na Imma ambaye ni mfanyakazi wa Mama mzazi wa mmiliki wa studio za Tongwe Records J Murder, mpaka muda huu hawajaweza kupatikana na haifahamiki wapi walipo baada ya kuvamiwa studio na kuchukuliwa na watu wasiojulikana.

Mapema leo Mmiliki hiyo wa Tongwe Records alifika kituo cha Polisi Osterbay na akanukuliwa akisema “Jana usiku baada ya kutokea tukio nilienda kutoa ripoti pale polisi Osterbay kwahiyo leo nilichoenda pale ni kujua mpelelezi wa kesi yangu ni nani nimpe maelekezo wa vitu gani vime-happen pale studio.”

Sasa hapa pia Global Tv Online wamemtafuta mke wa Roma, naye ameweza kuzungumza yake ya moyoni kuhusu ishu hii.

Sikiliza hapa chini.

Wednesday, April 5, 2017

AUDIO: Sentensi Za Nay Wa Mitego Kuhusu Kuonekana Bashite Kwenye Video Ya Wapo


AUDIO: Sentensi Za Nay Wa Mitego Kuhusu Kuonekana Bashite Kwenye Video Ya Wapo.

AUDIO: SHILOLE Aingia Kwenye Penzi Jipya, Nuh Mziwanda Atoa maoni


Msanii wa kike anayetamba na kibao cha Sitoi Kiki, Shilole amebainika kuingia kwenye penzi jipya ikiwa ni kutokana na stori za mtaani.
Akizungumza na U Heard ya Clouds FM, mpenzi wa zamani wa mwanamuziki huyu, Nuh Mziwanda amesema kuwa amelipokea suala hilo lakini hayo ni maisha yake na hawezi kumpangia kwani yeye ana familia yake na majukumu ya kulea zaidi.

Sikiliza hapa chini.

AUDIO: Joh Makini: Davido ndio alinipigia simu kuhusu wimbo wetu mpya


Msanii anayehit na ngoma ya "Waya" anaitwa Joh Makini ameweka wazi kuhusu kolabo yake na davido kuachiwa, ikiwa ni mara baada ya Davido kupost picha ya ujio wa kolabo hiyo.

Akizungumza na Perfect Crisprin wa Clouds Fm Joh Makini amesema kuwa wimbo ulisharekodiwa muda kidogo ila hakukuwa na haraka ya kuutoa kutokana na kila mtu kuwa bize na mambo yake.

Msikilize hapa chini......................................

Monday, April 3, 2017

HAMORAPA Alivyorushiwa Chupa stejini alichukuliaje, anajibu hapa


AUDIO: "Erick Shigongo amenitishia maisha na nimeshaaga familia yangu" BAB TALE


Ikiwa tangu Mmili wa Global Publishers, Erick Shigongo kumuandika Diamond Platumz kuhusu show na gharama anavyozifanya kumekuwa na maoni mengi, na meneja wa Wcb Bab Tale aliamua kuvunja ukimya kuandika maneno makali ya kumkemea Shigongo kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Leo Aprili 3, 2017 Bab Tale amefanya mahojiano na kipindi cha Xxl cha Clouds fm na kuzungumzia chanzo cha ugomvi wa Wcb na Shigongo pamoja na namna alivyotishiwa maisha.

Bonyeza play kusikiliza hapa chini>>>>>>>>>>>

Thursday, March 30, 2017

Maneno ya Quick Rocka baada ya Producer Luffa kuhamia Wanene Entertaiment


Msanii na Producer kutokaSwitch Records Quick Rocka amefunguka kuhusu Producer King Luffa ambaye alikuwa anafanya kazi kwenye studio zake kabla ya kuhamia studio za Wanene.
Quick Rocka alisema hapakuwa na mtu aliyekuwa anamjua King Luffa lakini alimuamini na kumpa nafasi na sasa anamtakia kila la heri.
"King Luffa alikuja Switcher miaka mitatu iliyopita hakuna aliyemjua. Nikamuamini, nikampa nafasi. Namtakia kila la heri.” – Quick Rocka.
Pamoja na hayo Quick Rocka ameizungumzia issue ya Switch Music Group na Switch Record kuwa ni vitengo viwili tofauti "Switch Music Group ni kitengo kingine mbali na Switch Record hii ni label mpya ya kuibua vipaji vipya.” – Quick Rocka."