Latest News

Monday, May 22, 2017

AUDIO - Nay Wa Mitego Wa Mitego Asema Alimcheki Ben Pol Kuhusu Picha Ya Uchi Lakini Hakujibiwa


Msanii ambaye pengine husifika kwa upole Tanzania, Benard Paulo aka Ben Pol ametikisa mtandao wa Instagram baada ya kupost picha akiwa mtupu na akiwa amefungwa kamba mikono miwili kwa nyuma.
Picha hiyo imeweza kuleta tafsiri ya sintofahamu kwa wasanii wenzake pamoja na mashabiki na ikiwa tayari imeshapostiwa kwenye mitandao mbalimbali.

Kati ya wasanii waliozungumza ni Nay wa mitego ambaye ameonyeshwa kushangazwa na kitendo cha Benpol kupost picha hiyo na kusisitiza kuwa labda wangekua wasanii wengine wenye skendo za hapa na apale kama yeye isingeshangaza.

Wasanii wengine waliozungumza ni Shiole na Kala Jeremiah ambao wamehojiwa na Ayo Media.

Nimekuwekea audi hapa chini kama hukupita kwa MillardAyo

No comments:

Post a Comment