Showing posts with label Iringa music audio. Show all posts
Showing posts with label Iringa music audio. Show all posts
Saturday, July 29, 2017
Saturday, June 17, 2017
New Audio: Qriaz Alonto - Neno Langu | Listen and Download Mp3
Ni msanii anayetokea mkoani Iringa, anahitaji sapoti yako, kama umekubali kazi yake mcheki kwa mawasiliano yafuatayo.
Facebook: Qriaz Alonto
Call/Sms: 0758 239 050
Youtube Channel: Qriaz Alonto
Wednesday, June 14, 2017
New Video: Lonka Brown - Maximum | Watch and Download
New Video: Lonka Brown - Maximum | Watch and Download
Tuesday, June 13, 2017
Sunday, June 11, 2017
Wednesday, June 7, 2017
New Audio: Ivan - Ingia | Listen and Download Mp3
Heshima, busara na akili vinamsaidia huyu, na huenda ni kati ya vitu vinavyovutiwa zaidi na watu kuweza kumsaidia na kuzidi kupata hali ya kujituma zaidi katika kazi.
Anaitwa #Ivan anatokea mkoani #Iringa, wimbo wake huu hapa mpya kabisa unaitwa #Ingia.
Sunday, June 4, 2017
New Audio: Mkawa - Fall ( Davido Cover ) | Listen and Download Mp3
Msanii kutoa mkoani Iringa #Mkwawa mkali wa kufanya Cover za nyimbo mbalimbali amefanya Cover ya wimbo mpya wa @Davido unaokwenda kwa jina la #Fall.
Wednesday, July 6, 2016
New Music Audio & Video: Izzo Bizness and Abela Music - Dangerous Boy | Watch, Listen and Download Free
By
Unknown
10:29:00 PM
BONGOFLAVA MUSIC AUDIO, Bongoflava Music Video, GENERAL NEWS, Iringa music audio, VIDEOS
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Izzo Biznes ameachia wimbo na mwanadada Abela Music ambao wanaunda kundi lao la The Amazing, wimbo unaitwa Dangerous Boy.
Wimbo umefanyika Uprise Music na Producer Duppy..... Video imeongozwa na Nick Dizzle.
Saturday, April 9, 2016
NEW MUSIC AUDIO: REMI MNYALU FT PNC - JITUNZE ( LISTEN AND DOWNLOAD )
Remi Mnyalu ni msanii anayetokea mkoani Iringa ambaye amezaliwa kijiji cha Boma la Ng'ombe wilaya ya Kilolo.
Hii ngoma yeke mpya ambayo amemshirikisha Pnc inaitwa Jitunze,imefanyika pale Rachel records Dar es salaam Maproducer ni Bikule na Shivo master.
Karibu kusikiliza na kudownload kisha uache maoni yako.











