Heshima, busara na akili vinamsaidia huyu, na huenda ni kati ya vitu vinavyovutiwa zaidi na watu kuweza kumsaidia na kuzidi kupata hali ya kujituma zaidi katika kazi.
Anaitwa #Ivan anatokea mkoani #Iringa, wimbo wake huu hapa mpya kabisa unaitwa #Ingia.

No comments:
Post a Comment