Latest News

Wednesday, June 7, 2017

VIDEO: Nisha Kwenye Penzi Jipya La Jamaa Aliyekuwa Na Shilole?


Kuna uvumi kutoka Bongo ukimhusisha staa wa Bongo movie Nisha au #Nishabebee kutoka kimapenzi na mpenzi wa zamani wa @Shilole, Caro.
Nisha amesema kutoka kimapenzi na mtu aliyeachana na mtu sio dhambi na kama kuna ukweli wowote kuhusu hilo itajulikana.

Msikilize zaidi hapa chini.

No comments:

Post a Comment