Latest News

Sunday, May 28, 2017

AUDIO: "Sitaki Tiffah Awe Msanii, Watmla Sana" Diamond Platnumz


Msanii Diamond Platnumz bado yupo Kenya, amefanya interview kwenye show moja na amefunguka akisema kuwa hatopenda mtoto wake wa kike Tiffa awe mwanamuziki akihofia kufuatwa sana na wanaume kitu ambacho kitamuumiza.
"Watamla sana". Diamond Platnumz.

Msikilize hapa chini.

No comments:

Post a Comment