Latest News

Friday, June 2, 2017

New Audio: Timbulo - Ndotoni | Watch and Download

Msanii Timbulo ambaye akiwa bado anatamba na kibao cha Mfuasi amerejea tena na wimbo wake mwingine unaokwenda kwa jina la Ndoto, hatujui ni ndoto ya aina gani inazungumziwa, sikiliza kisha utuambie ni ndoto gani uliyoielewa kwenye huu wimbo na utuachie maoni yako pale chini.
Producers ni Mocco Genious na Mr T Touch



No comments:

Post a Comment