Latest News

Monday, April 18, 2016

SPURZ YAIGARAGAZA VIBAYA STOKE CITY USIKU HUU { VIDEO }

Kane celebrates after scoring for Tottenham against Stoke

Tottenham spurs wameipa kichapo cha mabao manne{4} kwa sifuri{0} Stoke city katika gemu iliyomalizika usiku huu kule Stamford Bridge
Ligi kuu EPL.
Dele Alli chipped home to score Tottenham's second
Tizama video ya yote ya muhimu kwenye mchezo huo.

No comments:

Post a Comment