Baada ya kutupa audio msanii Kala Jeremiah ameona ni vizuri tukaitizama pia video yake ya WanaNdoto ambayo amemshirikisha Miriam Chirwa.
Video imeongozwa na Pablo huku audio ikifanywa na Zesti.
Reviewed by Unknown
on
11:06:00 AM
Rating: 5
No comments:
Post a Comment