Latest News

Tuesday, October 18, 2016

Habari ya Simanzi Afrika ni kifo cha Mfalme wa mwisho wa Rwanda

Image result for Ndahindurwa rwanda

Mfalme wa zamani wa Rwanda Kigeli wa tano Ndahindurwa amefariki dunia akiwa uhamishoni nchini Marekani.


Mfalme huyo alitawala Rwanda kwa miaka miwili tu kuanzia mwaka 1959 hadi 1961 wakati utawala wa kifalme ulipong'olewa kupitia kura ya maamuzi na kumlazimisha kwenda uhamishoni.


Hata hivyo hakuweza kurejea nchini mwake kwa kutofautiana na utawala uliopo sasa nchini Rwanda.

Nitakupa taarifa zaidi ya habari hii........

RestInPeace

No comments:

Post a Comment