Jana Oktoba 8, 2016 ilikuwa ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya msanii Chegge Chigunda, sasa Chege aliamua kuisherekea siku yake ya kuzaliwa akiwa pamoja na watoto waliolazwa kutokana na matatizo mbalimbali katika Hospitali ya rufaa Temeke.
Katika kusherekea siku hiyo ya kuzaliwa,Msanii wa muziki wa Bongo fleva Chege Chigunda amesema kwamba watu wanapaswa kufanya yale yanayompendeza Mungu kwa kufurahia siku zao za kuzaliwa na watu wenye uhitaji ili kuwapa faraja, Siku zote huwa anapanga kufanya hivyo lakini shetani alikuwa akimrudisha nyuma, ila this time amefanikiwa na amefurahi sana kusherehekea pamoja nao.
Tizama Picha za matukio hayo.....
Tizama Picha za matukio hayo.....
Katika ukurasa wake wa instagram Chegge aliandika haya maneno pamoja na picha hapo chini...
No comments:
Post a Comment