Tuesday, October 11, 2016
Ujerumani wamefanya jambo kwaajili ya kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere
Leo October 11 2016 BBC wameripoti taarifa ya Chancellor wa Ujerumani Angela Merkel kuzindua jumba jipya la makao makuu ya Umoja wa Afrika ambalo limepewa jina la baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kuelekea siku ya kumbukumbu tarehe 14.
Labels:
HABARI ZA KIMATAIFA,
Habari zote,
Kumbukumbu,
Siasa
Ujerumani wamefanya jambo kwaajili ya kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere
Reviewed by Admin
on
8:55:00 AM
Rating: 5
Reviewed by Admin
on
8:55:00 AM
Rating: 5
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment