Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa ametahadharisha umma kuhusu habari hii bandia inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii.
Msigwa ameandika kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa taarifa hiyo si ya Ikulu na kuwa imetengenezwa na wahalifu wa mitandao hivyo kwa kuwataka wananchi kuipuuza.
Taarifa hii sio ya Ikulu.— Gerson Msigwa (@MsigwaGerson) February 25, 2017
Imetengenezwa na wahalifu wa mtandao.
IPUUZWE!!!! pic.twitter.com/Hl2VEqg4di
No comments:
Post a Comment