Leo asubuhi Mbunge Tundu Lissu(CHADEMA) amekamatwa na Polisi nyumbani kwake Dodoma na kupelekwa Ofisi ya Kamanda wa Polisi na sasa anasafirishwa kwenda Dar es Salaam kwa madai ya kukiuka masharti ya dhamana.
Huyu hapa ni mkuu wa Idara ya Habari na mawasiliano amefanya mahojiano na mtandao wa MillardAyo ana haya ya kunena.
Bonyeza play kusikiliza....
No comments:
Post a Comment