Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi Sugu azungumzia mambo mbalimbali yaliyopelekea badhi ya ahadi alizozitoa kwa wananchi wake kutotimia ikiwa ni pamoja na siasa.
Kwa mujibu wa mbunge huyu anasema asilimia 90 amefanikiwa kutatua changamoto na kero mbalimbali, hivyo zimebaki asilimia kumi tu.
No comments:
Post a Comment