Latest News

Friday, May 19, 2017

AUDIO: Jinsi Tukio La Waliofariki Dunia Mgodini Iringa Vijijini Lilivyokuwa

www.mkatakiu.blogspot.com 
Wachimbaji wawili  wadogo wa madini katika kijiji cha Masuluti kata ya Magulilwa wilaya ya Iringa wamefariki dunia baada ya kukosa hewa ndani ya mgodi.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa polisi wa mkoa wa Iringa Julius Mjengi amewataja waliofariki dunia kwa kukosa hewa kuwa ni Haus Kaijage (32) mkazi wa Bukoba na James Mlawa(22) mkazi wa Magulilwa ambapo chanzo cha watu hao kupoteza maisha ni kukosa hewa baada ya kuingiza jenereta la kuvuta maji mgodini kwa lengo la kuvuta maji na baada ya kuliwasha walikosa hewa.

Sikiliza Taarifa Hapa Chini............


No comments:

Post a Comment