Latest News

Sunday, May 28, 2017

New Video: Adam Mchomvu - Shughuli | Watch and Download


Adamu Mchomvu au Baba Jonii, ameachia video nyingine ya wimbo wake wa Shughuli ambayo imeongozwa na jamaa anaitwa Ivan.

Unamkubali Mchomvu?, Una lolote la kuzungumza?, Acha maoni yako pale chini.

No comments:

Post a Comment