Ripoti ya uchunguzi wa madini yaliyomo katika mchanga imewasilishwa lakini pia viongozi mbalimbali wamezungumza maoni yao kuhusu ripoti hiyo na moja kati ya watu waliozungumza ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, ambaye amesema anaahidi kushirikiana na rais kwa kila hatua ili kila kitu kiweze kwenda kwa mujibu wa sheria.
Lukuvi amesema kuwa anaiona Tanzania mpya na yenye kasi, ambapo pia amesema Rais wetu halali na anapambana kwaajili yetu kwahiyo inapaswa kumshangilia kwa kumuunga mkono ili asirudi nyuma licha ya kuwa hana imani kwamba anaweza kurudi nyuma.
Msikilize waziri Lukuvi hapa chini.
No comments:
Post a Comment