Tangu zamani kundi la wagosi wa kaya limekua likiwafanya mashabiki wake kuvutiwa na aina ya maisha waliyo nayo kutokana na kwamba wamekuwa wakifanya kazi pamoja bila kutengana na kuendelea kuutangaza vizuri mkoa wao wa Tanga.
Safari hii wagosi wa kaya wametuletea video ya wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina la "Upepo Sio", ikiwa video imeongozwa na Jeff.
Tizama na pakua kisha uache maoni yako.
No comments:
Post a Comment