Kuna taarifa zilitoka kuhusu kufutwa kwa chama cha mawakili Tanzania, TLS ambapo chanzo kilibainika kuwa chama hiki kimeanza kujihusisha na masuala mbalimbali ya kisiasa.
Rais wa chama cha mawakili Tanzania amezungumzia kuhusu kufutwa kwa chama hicho na akafafanua kuhusu mpango waliowekewa unaokwenda kwa jina la "Bango Kitita".
Bonyeza Play Kusikiliza.
No comments:
Post a Comment