Kampuni ya uchimbaji wa madini ya ACACIA imeridhia kuilipa serikali ya tanzania nyongeza ya mrahaba kutoka asilimia 4 mpaka 6 kama ilivyoainishwa kwenye muswada wa sheria mpya ya madini nchini.
Taarifa zaidi ni hii kwenye video hapa chini. Bonyeza play kutizama.
(In English)
The ACACIA mining company has been pleased to pay the Tanzanian government an additional 4 to 6 percent as stated in the new mining law bill in the country.
More information is this in the video below. Click the playback button.
No comments:
Post a Comment