Latest News

Tuesday, April 19, 2016

Fahamu dili walilopata Radio na Weasel

Wasanii wanaounda kundi la GoodLyfe Radio na Weasel wamefanikiwa kupata dili kubwa na kampuni ya simu ya MTN Uganda.

Radio na Weasel wamepewa mkwanja mrefu kufanya show yao kuwa ya “Omwana Wa Bandi” kwa ushirikiano na kampuni hii ya simu ya MTN
Mtu aliyefanya show na vijana hawa maarufu kama ‘Bobkins’ amejaribu kumiliki show hii kwa kuwapa ofa ya milioni 80 za Uganda lakini wasanii hawa walikataa.

No comments:

Post a Comment