Latest News

Tuesday, April 19, 2016

Kama wewe ni shabiki wa Alicia Keys, hii ni habari njema!

Mwanamuziki wa kike mwenye jina kubwa ulimwenguni, Alicia Keys ametangaza ujio wa nyimbo mpya  kupitia kurasa yake mpya ya SnapChat ‘AKStreetGoddess’.
Alicia amekuwa studio na
producer Pharrell na Swizz Beatz akitengeneza album yake ambayo ni muendelezo wa  cd yake ya mwaka 2012 ‘Girl on Fire’.
Alicia Keys pia anajiunga na timu ya kipindi cha “The Voice” kama kocha wa washiriki kwenye msimu wao wa 11.

No comments:

Post a Comment