Latest News

Wednesday, April 20, 2016

Huu ndio mjengo mpya alioununua Diamond Platnumz!!!


Msanii Diamond Platnumz ni kati ya wasanii waliopata mafanikio makubwa kwenye tasnia ya sanaa ya muziki. Sio kitu cha ajabu ukaona Diamond amenunua kitu cha thamani lakini gharama ya huu mjengo ambayo ilikua
ikiuzwa hapo awali ndio ktu kilichowashangaza wengi. inasadikika nyumba ilikua ikiuzwa milioni 96.

Kwa mujibu wa dalali aliyouza nyumba, amedai nyumba hiyo yenye ukubwa wa eneo square mita 600, ipo Salasala jijini Dar es salaam na ina vyumba viwili ambavyo ni master.

Hii ndio picha ya mjengo wenyewe...

No comments:

Post a Comment