Latest News

Wednesday, April 20, 2016

Justin Campos ndiye anayhusika kwenye video yangu mpya ya Ndi ndi ndi,'Lady Jay Dee'


Msanii wa kike wa muziki wa Bongoflava nchi ameweka wazi kuwa ujio wa video yake mpya ya Ndi ndi ndi Justin Campos ndiye aliyeisimamia.
Jide amepost video Instagram inayomuonesha Justin
akiwa na mke wake Candice Campos kueleza walivyokutana.
“Nilikutana na Justin Campos Kwa Mara ya Kwanza 2006 Wakati Tunafanya Video ya Njalo Nilioshirikiana na kundi la South Africa Linalojulikana Kama Mina Nawe, Justin Ndio alikuwa Director wa Video Hiyo Baada ya Miaka 10 tumefanya kazi tena 2016,” aliandika Jaydee.
“Dunia Duara tunazunguka Tunarudi tena tunakutana #NdiNdiNdiMusicVideo #ThisComingThursday #NguvuYaUmma #WananchiWameipokea #KaaTayariKuipokea,” aliongeza.
A photo posted by Lady JayDee (@jidejaydee) on

A photo posted by Lady JayDee (@jidejaydee) on

No comments:

Post a Comment